Saleh Mabruck

Actor
Share:

Personal Info

  • Birth Name: Salehe Mabruck
  • Date of Birth: 23, Dec 1987
  • Residence: Dar-es-salaam
Social:

Biography

Salehe Mabruck Adallah Amiran alizaliwa tarehe 23 december 1987 katika jiji la Dar es salaam,alianza safari ya sanaa akiwa na umri wa miaka kumi alipofika miaka kumi na mitano alianza kujifunza ngumi pamoja na kucheza mziki(dancing),alijifunza kucheza mziki Tanzania house of talent (THT) akiwa kama mwanafunzi wa mwanzo wakati THT ndio inaanzishwa.

Aliendeleza kipaji chake cha kucheza mziki baada ya kutoka THT na kuanza kucheza katika majukwaa mbalimbali,pamoja na kuwafanyia mafunzo watoto kwa kuwafundisha kucheza mziki(dancing).

Swalehe aliamua kujitwika moja kwa moja kwenye upande wa kucheza ngumi mpaka mwaka 2015 Didas entertainment ilipoamua kumchukua na kuanza kufanya nae kazi katika filamu aliyoweza kumtambulisha sokoni na kuonesha uwezo wake katika tasnia ya filamu iliyokwenda kwa jina la DIDA.

Mbali na sanaa Saleh pia ana kipaji cha kucheza mziki pamoja na kucheza mchezo wa ngumi,matarajio yake makubwa siku moja kusimama na kuwakilisha vema soko la filamu Afrika mashariki hasa katika upande wa filamu za hatua(action).

Newsletter

Subscribe now to get Celebrity Exclusive Interview newsletter per month

Moview Everywhere

Visitors Counter

000300949
Today
Yesterday
This Week
Last Week
This Month
Last Month
All days
63
313
1579
297004
5306
11827
300949

Your IP: 54.224.18.114
2017-11-18 01:52

Search