Martin White

Actor/Director
Share:

Personal Info

  • Birth Name: Martin White
  • Date of Birth: 25, Dec 1985
  • Residence: Dar es salaam
Social:

Biography

 

MARTIN WHITE almaarufu kama “TIN-WHITE” kama wengi wanavyomfahamu kwenye sanaa ya Uigizaji, ni mtoto wa pili katika familiya ya watoto watano, sanaa ya uigizaji alianza tangu akiwa shuleni chini ya usimamizi wa walimu pamoja na wazazi wake.

Baadhi ya filamu ambazo amewahi kushiriki ama kucheza kwa namna moja ama nyingine “TIN WHITE” amecheza filamu mbalimbali zikiwemo “Peace and love”,“Msela wa Manzese”, “See you again”,“Magumegume”,“Jini Cheketu”,“Safari ya mmakonde”-Ambayo inatarajiwa kutoka mwisho wa mwezi wa nane, na nyingine nyingi ambazo alishiriki kwa namna moja ama nyingine.

Msanii wa kiume anayempenda “GABO”,“RINGO” wa kike “JACKLIN WOLPER”-Anavutiwa sana na uigizaji wake na anapenda pia kufanyanae kazi kama msanii mwenzake wa uigizaji

“TIN-WHITE” mbali na sanaa anamiliki PIKIPIKI yake ambayo ameifanya kama sehemu ya ajira yani (bodaboda) ili aweze kujipatia kipato na kuweza kwa namna moja ama nyingine katika kujikimu na maisha yake ya kila siku.

                                         

                                         

            

 

 

 

Filmography

Latest Trailers And Videos

Newsletter

Subscribe now to get Celebrity Exclusive Interview newsletter per month

Moview Everywhere

Visitors Counter

000300960
Today
Yesterday
This Week
Last Week
This Month
Last Month
All days
74
313
1590
297004
5317
11827
300960

Your IP: 54.224.18.114
2017-11-18 01:54

Search