Ally Njenje

Actor/Director
Share:

Personal Info

  • Birth Name: Ally Njenje
  • Date of Birth: 13, Jun 1988
  • Residence: Dar es salaam
Social:

Biography

Ally Njenje alizaliwa mnamo mwaka 13/ 6/1988 Tabata jijini Dar es salaam, akiwa ni mtoto wa pili kwa upande wa mama lakini pia ni mtoto wa pili kutoka mwisho kwa upande wa baba alisoma shule ya msingi Kongowe na alihitimu Sekondari Miembe Saba iliyopo Kibaha mkoa wa Pwani.

Alianza na rasmi kazi ya sanaa ya uigizaji mnamo 2003 pia miongoni mwa wasanii wa tasnia ya uigizaji anaowakubali na anapenda kazi zao kwa namna moja ama nyingine ni pamoja na Dimoso kwa mwanamke ni Monalisa

Alijikita kwenye sanaa ya uigizaji akiwa darasa la tatu katika shule ya msingi Kongowe  miongoni mwa kazi alizo wahi  kuzifanya ni pamoja na Msufini,Goyane,Mimba mbili,Kaburi Langu pamoja na Jipu.

Nje ya sanaa ya uigizaji ni mjasiriamali anayejishuhurisha na biashara ndogondogo amnamiliki Chombo cha usafiri kinacho inamuingizia kipato katika maisha yake ya kila siku.

Filmography

Newsletter

Subscribe now to get Celebrity Exclusive Interview newsletter per month

Moview Everywhere

Visitors Counter

000300972
Today
Yesterday
This Week
Last Week
This Month
Last Month
All days
86
313
1602
297004
5329
11827
300972

Your IP: 54.224.18.114
2017-11-18 01:57

Search