Ramadhani Masudi

Upcoming Actor
Share:

Personal Info

  • Birth Name: Ramadhani Masudi
  • Date of Birth: 18, Dec 1986
  • Residence: Dar es salaam
Social:

Biography

Ramadhani  Masudi  almaarufu “RAMSO MMAKONDE” kama wengi wanavyomfahamu kwenye sanaa ya uigizaji, ni mtoto wa tano katika familiya ya watoto sita, alizaliwa Mtwara wilaya ya Masasi katika kijiji Makong’onda, amehitimu elimu ya msingi katika shule ya Makong‘onda  mnamo mwaka 1997.

“SABRA” ni filamu yake ya kwanza kuigiza ambayo ndiyo iliyomtambulisha rasmi kwenye sanaa ya uigizaji mnamo mwaka 2010.

“RAMSO MMAKONDE”  ameshiriki kwenye Filamu ya “MTOTO WA MAMA”, “KALUNDE”,pamoja na SAFARI YA MMAKONDE inayotarajiwa kutoka mwisho wa mwezi huu wa nane.

Msanii wa mfano kwake “GABO”  lakini pia msanii wa kiume anayempenda “BABA HAJI” wa kike “ODAMA”, na siku moja angependa kufanya nao kazi.

“RAMSO MMAKONDE” nje na uigizaji ni mfanyabiashara,na ana library yake maeneo ya Tabata  Segerea, napia ni msafirishaji wa mizingo ya watu waliokuwa mikoani.

                                                   

Filmography

Latest Trailers And Videos

Newsletter

Subscribe now to get Celebrity Exclusive Interview newsletter per month

Moview Everywhere

Visitors Counter

000300961
Today
Yesterday
This Week
Last Week
This Month
Last Month
All days
75
313
1591
297004
5318
11827
300961

Your IP: 54.224.18.114
2017-11-18 01:54

Search