Rashid Ngajua

Actor/Director
Share:

Personal Info

  • Birth Name: Rashid Ngajua
  • Date of Birth: 25, Dec 1990
  • Residence: Dar es salaam
Social:

Biography

Rashid Ngajua almaarufu kama “Sam Ngajua” kama wengi wanavyomfahamu katika saana ya uigizaji, alizaliwa mnamo mwaka 1990 wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam,ni  mtoto wa kwanza katika familiya ya watoto wanne, alisoma  shule ya msingi NZASA,na  alihitimu katika sekondari ya MBANDE  2010.

Ngajua ni  msaanii anayechipukia katika saana ya uigizaji na alianza lasmi kazi ya uigizaji 2008 akiwa chini ya kampuni ya GREAN HOUSE CINEMA.

Filamu alizocheza “Ajuza…. mwaka 2008” “Dead hand…mwaka 2008”

Ajuza -ndiyo filamu ya kwanza kumtambulisha katika tasnia ya filamu

NDIYO BASI TENA –hii ni filamu iliyomtambulisha lasmi mwaka 2009 baada ya kukaa kimya takribani mwaka mzima tangu alipojikita katika tasnia hii ya uigizaji chini ya kampuni ya KAGEA FILM.

Msanii wa mfano kwake ni “GABO” na msanii wa kiume anayempenda  ni “TINO” wa kike ni “RIYAMA ALI” hii ni kweasababu ya uigizaji wao.

Licha ya uigizaji lakini pia ni muongozaji wa filamu (DIRECTOR) na ni mpigapicha (cameraman)na ni muandaaji wa filamu za kibongo.

Ujio wake kwa sasa, amejiandaa kikamilifu katika tasnia hii ya uigizaji kuthihilisha hilo amekuja na filamu mpya inayoitwa SAFARI YA MMAKONDE akiwa yeye ndiye muuandaaji wa filamu hiyo inayotarajiwa kutoka mwisho wa mwezi huu wa nane.

 

Newsletter

Subscribe now to get Celebrity Exclusive Interview newsletter per month

Moview Everywhere

Visitors Counter

000300950
Today
Yesterday
This Week
Last Week
This Month
Last Month
All days
64
313
1580
297004
5307
11827
300950

Your IP: 54.224.18.114
2017-11-18 01:52

Search