Amri Athumani

Actor
Share:

Personal Info

  • Birth Name: Amri Athumani
  • Date of Birth: 21, Mar 1948
  • Residence: Dar-es-salaam
Social:

Biography

Amri Athumani almaarufu kama “MZEE MAJUTO” au “KING MAJUTO”, alizaliwa mnamo mwaka 1948 jijini Tanga na kusoma shule ya Msingi Msambwini mkoani Tanga

“KING MAJUTO”  alianza safari ya  kuigiza mnamo mwaka 1958 akiwa na umri wa miaka 9,alianza kuigiza  katika majukwaa  akiwa kama msanii wa vichekesho na wakati huohuo akiwa kama mwigizaji wa filamu. “KING MAJUTO ndiye muigizaji wa kwanza kuandaa kazi zake katika mikanda na kuuza akiwa na Tanzania Film Company ( TFC). Mbali ya uigizaji King Majuto pia ni Mtunzi wa Filamu.

“KING MAJUTO”  amecheza  filamu mbalimbali, “FUKARA  HATABIRIKI”  ni Filamu yake ya  kwanza kumtambulisha kwenye saana ya uigizaji.Zifuatazo ni baadhi ya filamu aliozowahi kucheza au kushilikishwa ambazo  ni “Uso wa Mbuzi”,”Out Side”,”Juu kwa Juu”,”Kitu Bomba”,”Mume Bwege”,”Daladala”,”Bishoo”,”Varangati”,”Ndoa  ya Utata”,”Mjomba”.    

Katika fani yake ya uigizaji “King Majuto” ameweza kupata tuzo mbalimbali za uigizaji takribani zisizopungua Kumi.                                 

 

 

 

 

Filmography

Newsletter

Subscribe now to get Celebrity Exclusive Interview newsletter per month

Moview Everywhere

Visitors Counter

000309209
Today
Yesterday
This Week
Last Week
This Month
Last Month
All days
370
301
671
306677
3960
9606
309209

Your IP: 107.20.120.65
2017-12-12 19:03

Search