×

Notice

Please enter your DISQUS subdomain in order to use the 'Disqus Comments (for Joomla)' plugin. If you don't have a DISQUS account, register for one here

Tuache Shobo Siasa Ni Za Ccm Na Ukawa 'MAFUFU'

STAA wa filamu kiwanda cha bongo muvie Jimmy Mafufu amelaani kitendo cha wasanii wa filamu kupoteza muda kwa kuandaa mikutano inayohusisha mambo ya siasa nchini na kuacha kujishugulisha na fani yao ya uigizaji.

kupitia ukurasa wake wa picha Instagram Mafufu ambae pia ni mmiliki wa Mafufu the strong Film amesema anasikitishwa na waigizaji kujisahau kufanya mambo yatakayo wanufaisha kisanaa na kuingilia maswala wasio na weledi nayo.

"Juzi mh waziri mwenye dhamana ya kazi yetu ameyafungia maduka yanayouza kazi zetu kinyume na utaratibu na leo yamefunguliwa tena badala wasanii tuitishe mikutano yakuzungumzia maswala haya ndo kwanza tunaitisha vikao vya kuzungumzia maswala ya siasa jamani mbona mnashobo na wanasiasa' amesema mafufu

Vuguvugu la wasanii kuhama vyama na kuzungumzwa sana kwenye mitandao linachukua nafasi kubwa baada ya mlimbwende wa Tnzani mwaka 2006 Wema Sepetu kuhamia ukawa na kudai hakulipwa kipindi cha kampeni za mwaka 2015 chini ya chama cha mapinduzi ccm

Yobnesh Yusuph aka Batuli ambaye pia ni mwigizaji aliyewahi kutishia amani na filamu kama Waves of Sorrow, Fungate,Get Out, The Glory of Ramadhan, My Fiance, na Ripple of Tears ambaye pia ni makamo mwenyekiti wa Mama ongea na mwanao kampeni iliyokuwa chini ya makamu wa raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu  alisikika akikanusha usemi huo na aliweka wazi juu ya mikatabaya ya malipo yao katika kikao kilichowashirikisha wanahabari

wadau wa filamu wamekuwa na mitazamo tofauti kutokana na wasanii wengi hasa wa filamu kuamia kwenye siasa huku swali likibaki kua nikweli tasnia hailipi tena kama zamani au tasnia imeingiliwa na wafanya biashara .

Rating:
( 1 Rating )

User Rating: 5 / 5

Star ActiveStar ActiveStar ActiveStar ActiveStar Active
 

Newsletter

Subscribe now to get Celebrity Exclusive Interview newsletter per month

Moview Everywhere

Visitors Counter

000300978
Today
Yesterday
This Week
Last Week
This Month
Last Month
All days
92
313
1608
297004
5335
11827
300978

Your IP: 54.224.18.114
2017-11-18 01:58