×

Notice

Please enter your DISQUS subdomain in order to use the 'Disqus Comments (for Joomla)' plugin. If you don't have a DISQUS account, register for one here

Niliyajua Haya Kabla Sijaolewa na Chidi 'Shamsa Ford'

IKIWA ni siku chache tangu mume halali wa Shamsa Ford  staa kutoka kiwanda cha  Bongo movie maarufu kama Chidi Mapenzi kukamatwa na police  kwa tuhuma za madawa ya kulevya  Ford amesema aliyatarajia mambo manne alipoamua kufunga ndoa na Chid mapenzi

Shamsa amesema  alipo olewa alijua ipo siku atapitia mambo manne katika maisha yake ya ndoa na vikwazo hivyo havita badilisha wala kushusha thamani ya upendo wake kwa mumewe kwani anaamini ndoa yake ili pangwa na mwenyezi mungu.

'Nilipo olewa nilijua ipo siku nitapitia hivi vitu huzuni,furaha,maudhi,kudharauliwa nakadharika ila pamoja na yote hayo haita badirisha mapenzi  yangu kwa mume wangu kipenzi nina amini yeye ni mume aliyenipa mungu na wala hakutukutanisha kwa bahati mbaya' amesema shamsa

kumekuwa na maneno yanayo sambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii kuhusiana na madawa ya kulevya jambo linalopelekea wasani wa filamu muziki na watu maarufu kutuhumiwa kwatika sakata hilo

shamsa ameandika katika instagram page yake  ' hata dunia nzima ikuzomee na kuamini kile wanacho kiamini lakini jua una mke anayekupenda kwa dhati ninakujua,ninakuthamini, na ndo maana niliolewa na wewe kwasababu niliamini utakua baba bora kwa wanangu kama ulivyo sasa  naamini mungu anapotaka kukupeleka sehemu anayo itaka yeye ni lazima akupitishe kwenye mitihani, hii ni mitihani ya mwenyezi mungu na nina imani Inshaaallah yatapita. Nakupenda mme wangu'

baadhi ya mashabiki wa shamsa wameonyesha kuguswa na ujumbe wa staa huyo nao wamesema

sarahjacob7106 amesema 'mungu atawasaidia na ndoa yenu itadumu daima'  

mwaubaya amesema 'wewe ni mwanamke mwenye msimamo vuta subira mitihani tumeumbiwa waja kwa uwezo wa Rabana Inshaallah utafanyiwa wepesi na yatapita'        


                                                       

Rating:
( 2 Ratings )

User Rating: 5 / 5

Star ActiveStar ActiveStar ActiveStar ActiveStar Active
 

Newsletter

Subscribe now to get Celebrity Exclusive Interview newsletter per month

Moview Everywhere

Visitors Counter

000300977
Today
Yesterday
This Week
Last Week
This Month
Last Month
All days
91
313
1607
297004
5334
11827
300977

Your IP: 54.224.18.114
2017-11-18 01:58