Mateso yangu Ughaibuni (2016)

Movie | 120 Min
Rating:
0/10
0

Movie Info

Buy DVD

Movie Story

Mateso yangu ughaibuni ni historia ya kweli iliyomtokea mwanadada aliyeenda kusoma Ughaibuni {United Kingdom}. Zainab alienda kusoma kwa kutegemea ufadhali wa mjomba yake ambae alikuwa akiishi Dubai, wazee wake hawakuwa na uwezo wa kumdhamini. Baada ya kufika ughaibuni, mambo yalikuwa tofauti na alivyotemegea. Alifikia nyumbani kwa mtoto wa rafiki ya mama yake. Alipokelewa vizuri na baada ya miezi kadhaa mwenyeji wake alimgeuka na mwisho kumfukuza. Alihangaika huku na kule, akilala nje na kula kwenye majalala.

Share:

Trailers & Videos

Mateso yangu Ughaibuni

Movie

Recommend movies

Newsletter

Subscribe now to get Celebrity Exclusive Interview newsletter per month

Moview Everywhere

Visitors Counter

000309207
Today
Yesterday
This Week
Last Week
This Month
Last Month
All days
368
301
669
306677
3958
9606
309207

Your IP: 107.20.120.65
2017-12-12 19:03

Search