×

Notice

Please enter your DISQUS subdomain in order to use the 'Disqus Comments (for Joomla)' plugin. If you don't have a DISQUS account, register for one here


Warning: in_array() expects parameter 2 to be array, null given in C:\Inetpub\vhosts\didasentertainment.com\httpdocs\plugins\content\spcomments\spcomments.php on line 70
Saturday, 24 September 2016 14:30

Wasanii Wachanga Tusijishushe

Written by
Rate this item
(0 votes)

Msanii anayekuja kwa kasi katika tasnia ya uigizaji nchini Ally Njenje amewasihi wasanii wenzake wanaochipukia katika sanaa ya uigizaji kujiamini na kutokujishusha badala yake wajipandishe pindi wanapokutana na wasanii wakongwe.

Akizungumza na Didaasentertainment mapema leo amesema wanasanii wakonge wanawachukulia wasanii chipukizi kama wasanii wa ziada ambapo wanawahitaji pindi tu pale wanapoona kuna nafasi ya mtu imepelea na isiyokuwa ya muhimu sana na kuamua kutafuta msaanii anayechipukia na kumuweka sasa hili kwa wasanii wenzangu lazima tujiamini ili wajue thamani yetu nasiyo tu mpaka nafasi ikose mtu ndiyo watuchukue.

“Kwakweli wasanii wachanga tujiamini sisi wenyewe na tujiwekee misingi imara katika kazi zetu, tusiwe watu wa bendera fata upepo yani tunapelekwa pelekwa bila kuwa na msimamo chanya yani wanatuchukulia wasanii chipukizi kama wasanii wa ziada ambapo wanatuhitaji pindi tu pale wanapoona kuna nafasi isiyokuwa na tija kwa hadhira wakati ukizingatia tunahitaji kuonesha vipaji vyetu kwa nguvu kubwa”. Alisema Ally Njenje.

Hatahivyo amebainisha wasanii anaowapenda katika tasnia ya filamu juu ya kazi zao wanazozifanya ni pamoja na Dimoso lakini pia anamkubali sana Monalisa kutokana na kazi nyingi pamoja na uwezo wa kucheza michezo ya jukwaani.

"Wasanii wengi waliofanya sanaa ya uigizaji ni kazi kama ilivyo kazi nyingine nje ya uigizaji wa filamu wanafanya vizuri sokoni, bila kupepesa macho hapa nawazungumzia Monallisa pamoja na Dimoso kwakweli wanafanya kazi nzuri na ndiyo wasanii nianowakubali katika tasnia hii ya uigizaji".Alisema Ally Njenje

Read 418 times

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.

Newsletter

Subscribe now to get Celebrity Exclusive Interview newsletter per month

Moview Everywhere

Visitors Counter

000300970
Today
Yesterday
This Week
Last Week
This Month
Last Month
All days
84
313
1600
297004
5327
11827
300970

Your IP: 54.224.18.114
2017-11-18 01:56